# @paul_mchumi on Instagram

- **Type:** Image
- **Original URL:** https://www.instagram.com/p/DUtMl0ejASs
- **Gondola URL:** https://gondola.cc/posts/63288376-paul-mchumi-instagram
- **Thumbnail:** https://img.gondola.cc/tr:w-,h-,fo-auto/postThumbnails/466ffed34f.jpg
- **Posted:** 2026-02-13T17:18:25.000+00:00
- **Account Owner:** Paul Chengula (@paul_mchumi) — https://gondola.cc/paul_mchumi

## Caption

Hivi unajua kwanini watu wengi wanakimbia biashara na kurudi kwenye ajira? Au kwanini biashara yako haikui? 
Jibu ni rahisi: Biashara haina "Kutegea!" 

Kwenye ajira, unaweza ukawa na siku mbaya, ukajificha nyuma ya kompyuta au ukachelewa kidogo na mshahara ukaingia vilevile. 

Lakini kwenye biashara? Ukilala, na biashara inalala fofofo! 😴💤

Cha kukumbuka ni kuwa

 👉🏻 Nidhamu ni Kila Kitu: Biashara haihitaji mtaji wa pesa pekee, inahitaji nidhamu ya hali ya juu. Wewe ndiye bosi, na wewe ndiye mfanyakazi namba moja.

 👉🏻Stress za Biashara ni Level Nyingine: Kwenye ajira unajali mshahara wako, kwenye biashara unajali kodi, mishahara ya watu, wateja, na kesho itakuwaje. 🤯

 👉🏻Ajira ni Shule: Usichukie kazi yako ya sasa. Itumie kama darasa la kujifunza jinsi ya kusimamia mifumo, ili ukija kuanza chako, usiyumbe.

Call: 0714 260266

#Biashara #Nidhamu #Ajira #TanzaniaBusiness #Ujasiriamali #PaulChengula #SuccessMindset #Maendeleo

## Stats

- **Views:** 0
- **Likes:** 7
- **Shares:** 0
- **Comments:** 0

## Tags

biashara, ujasiriamali, ajira, successmindset, maendeleo, tanzaniabusiness, paulchengula, nidhamu

---
Copyright (c) Gondola