# @whatsapp on YouTube

- **Type:** Video
- **Original URL:** https://youtube.com/watch?v=av_aIudShSE
- **Gondola URL:** https://gondola.cc/posts/64607525-whatsapp-youtube
- **Thumbnail:** https://img.gondola.cc/tr:w-,h-,fo-auto/postThumbnails/c0d89959f4.jpg
- **Posted:** 2026-03-25T14:56:50.000+00:00
- **Account Owner:** Heather Peterson (@heather4feather) — https://gondola.cc/heather4feather

## Caption

Akaunti zinazodhibitiwa na wazazi kwenye WhatsApp huja na vidhibiti vya wazazi vilivyojumuishwa kwenye programu ili kuwawezesha wazazi na walezi kudhibiti utumiaji wa mtoto wao kwenye WhatsApp.

Vidhibiti vya wazazi vya WhatsApp vya akaunti zinazodhibitiwa na wazazi huwaruhusu wazazi kuweka vidhibiti vinavyofaa kwa ajili ya mtoto wao, kama vile: 
Usimamizi wa waasiliani: Wazazi wanaweza kuchagua ni nani anayeweza kuwasiliana na mtoto wao na kuamua ni vikundi gani mtoto wao anaweza kujiunga.
Mipangilio ya faragha: Wazazi pekee ndio wanaweza kufikia na kurekebisha mipangilio hii kulingana na mahitaji ya familia zao.
Arifa za usalama: Wazazi wanaweza kupokea arifa kuhusu masasisho muhimu kuhusu shughuli za akaunti ya mtoto wao.
Ili kupata maelezo zaidi kuhusu udhibiti wa wazazi kwa akaunti zinazodhibitiwa na wazazi kwenye WhatsApp, tembelea https://faq.whatsapp.com/1201762518588626/ 
Ili kujifunza jinsi ya kutazama na kudhibiti mipangilio ya faragha ya akaunti zinazodhibitiwa na wazazi kwenye WhatsApp, tembelea, https://faq.whatsapp.com/859614350128048
Kwa rasilimali zaidi kuhusu akaunti zinazodibitiwa na wazazi kwenye WhatsApp, tembelea Kituo cha Msaada wa Wazazi https://faq.whatsapp.com/894871699629864 
Sura
0:00 Zana
0:13 Chagua ni nani anayeweza kuwasiliana nawe
1:07 Dhibiti mipangilio ya faragha
1:49 Simamia shughuli ya mtoto
2:28 Faragha kwa familia yako
2:28 Zuia na uripoti
2:50 Tazama vidokezo zaidi

Kwa #VidokezovyaWhatsApp zaidi, jiandikishe kwenye kituo chetu cha YouTube: https://www.youtube.com/user/WhatsAppInc 

Endelea kuwasiliana kwenye WhatsApp
Penda WhatsApp kwenye Facebook: https://www.facebook.com/WhatsApp 
Fuata WhatsApp kwenye Instagram: https://www.instagram.com/whatsapp  
Fuata WhatsApp kwenye X: https://X.com/whatsapp  

#WhatsApp #Messaging #Privacy #ParentalControls #WhatsAppkids #WhatsAppPrivacy

## Stats

- **Views:** 624
- **Likes:** 6
- **Shares:** 0
- **Comments:** 0

## Tags

parentalcontrols, whatsapp, whatsappprivacy, privacy, whatsappkids, vidokezovyawhatsapp, messaging

---
Copyright (c) Gondola