# @whatsapp on YouTube

- **Type:** Video
- **Original URL:** https://youtube.com/watch?v=7lRpRtHdJfE
- **Gondola URL:** https://gondola.cc/posts/82299234-whatsapp-youtube
- **Thumbnail:** https://img.gondola.cc/tr:w-,h-,fo-auto/postThumbnails/c0e78e4e91.jpg
- **Posted:** 2026-11-02T17:37:17.000+00:00
- **Account Owner:** Heather Peterson (@heather4feather) — https://gondola.cc/heather4feather

## Caption

Jifunze jinsi ya kusanidi vidhibiti vya wazazi kwenye akaunti ya WhatsApp ya barobaro wako. Vidhibiti vya wazazi hukuwezesha kuunganisha akaunti barobaro wako ili uweze kukagua mipangilio yake ya faragha na kuchagua jinsi anavyotumia vipengele fulani.

Ili kusanidi vidhibiti vya wazazi, fungua mipangilio ya WhatsApp ya barobaro wako, kisha udonoe Vidhibiti vya wazazi. Thibitisha tarehe ya kuzaliwa na umri wa barobaro wako. Kisha, changanua msimbo wa QR kwa simu yako ili kuunganisha akaunti yake, thibitisha kuwa wewe ni mtu mzima kwa kupiga selfi, na uweke PIN ya mzazi. Kamilisha usanidi kwa kuweka PIN yako ya mzazi kwenye simu ya barobaro wako, kisha kagua au ubadilishe mipangilio yake ya faragha na ruhusa za kutumia vipengele. Akaunti zenu zikiunganishwa, unaweza kupokea arifa za shughuli, kuchagua mipangilio ya faragha na kudhibiti hali yake ya matumizi kwa kurekebisha jinsi anavyotumia vipengele fulani kama vile Hali, Vituo, na Meta AI.

Ili kujifunza kuhusu jinsi ya kusanidi vidhibiti vya mzazi kwa barobaro kwenye WhatsApp, tembelea https://faq.whatsapp.com/1761199628372670

Ili kupata maelezo zaidi kuhusu vidhibiti vya mzazi kwenye WhatsApp, tembelea https://faq.whatsapp.com/1343233450663117 

Ili kujifunza zaidi kuhusu jinsi ya kukagua arifa za shughuli za barobaro walio na vidhibiti vya wazazi, tembelea https://faq.whatsapp.com/1056875583669333 

Kwa #VidokezovyaWhatsApp zaidi, jiandikishe kwenye kituo chetu cha YouTube: https://www.youtube.com/user/WhatsAppInc


Endelea kuwasiliana kwenye WhatsApp
Penda WhatsApp kwenye Facebook: https://www.facebook.com/WhatsApp
Fuata WhatsApp kwenye Instagram: https://www.instagram.com/whatsapp
Fuata WhatsApp kwenye X: https://X.com/whatsapp

#WhatsApp #Messaging #Privacy #ParentalControls #WhatsAppPrivacy #TeenSafety #OnlineSafety #ParentingTips

## Stats

- **Views:** 1,049
- **Likes:** 3
- **Shares:** 0
- **Comments:** 4

## Credits

No public credits are recorded here. This does not identify who made the post.

## Tags

parentalcontrols, parentingtips, whatsapp, whatsappprivacy, teensafety, privacy, onlinesafety, vidokezovyawhatsapp, messaging

---
Copyright (c) Gondola