# @whatsapp on YouTube

- **Type:** Video
- **Original URL:** https://youtube.com/watch?v=ZdAxkubuASk
- **Gondola URL:** https://gondola.cc/posts/82299335-whatsapp-youtube
- **Thumbnail:** https://img.gondola.cc/tr:w-,h-,fo-auto/postThumbnails/856480c2cd.jpg
- **Posted:** 2026-10-19T18:44:14.000+00:00
- **Account Owner:** Heather Peterson (@heather4feather) — https://gondola.cc/heather4feather

## Caption

Jifunze kuhusu vidhibiti vya mzazi kwa barobaro kwenye WhatsApp Vidhibiti vya mzazi ni zana za hiari zinazokusaidia kuongoza hali ya matumizi ya WhatsApp ya barobaro wako.

Ili kuanza kutumia vidhibiti wa mzazi kwa barobaro wako, nenda kwenye kichupo cha wasifu wa kijana wako, gusa Vidhibiti vya mzazi, na uweke tarehe ya kuzaliwa ya barobaro wako ili kuunganisha na akaunti yake. Baada ya usanidi, PIN ya mzazi itahitajika kufikia Vidhibiti vya mzazi. Kuanzia hapo, unaweza kurekebisha mipangilio ya faragha ya barobaro wako na kuchagua jinsi anavyotumia vipengele vya hiari kama vile Meta AI, Hali, na Vituo. Unaweza pia kukagua shughuli zao kama vile wanapoongeza anwani mpya au wanapojiunga na kikundi kipya. Kumbuka kuzungumza na barobaro wako kuhusu shughuli zake.

Ili kupata maelezo zaidi kuhusu vidhibiti vya mzazi kwenye WhatsApp, tembelea https://faq.whatsapp.com/1343233450663117 

Ili kupata maelezo zaidi kuhusu PIN za wazazi kwa akaunti zenye vidhibiti vya mzazi kwenye WhatsApp, tembelea https://faq.whatsapp.com/1278453430774865  

Ili kujifunza kuhusu jinsi ya kusanidi vidhibiti vya mzazi kwenye WhatsApp, tembelea https://faq.whatsapp.com/1761199628372670

Kwa #VidokezovyaWhatsApp zaidi, jiandikishe kwenye kituo chetu cha YouTube: https://www.youtube.com/user/WhatsAppInc

Sura 
0:00 Sanidi vidhibiti vya wazazi
0:41 Rekebisha mipangilio ya faragha
1:06 Vipengele vya hiari
1:36 Kagua shughuli
2:05 Arifa
2:22 Mawasiliano
2:37 Vidokezo Zaidi vya WhatsApp

Endelea kuwasiliana kwenye WhatsApp
Penda WhatsApp kwenye Facebook: https://www.facebook.com/WhatsApp
Fuata WhatsApp kwenye Instagram: https://www.instagram.com/whatsapp
Fuata WhatsApp kwenye X: https://X.com/whatsapp

#WhatsApp #Messaging #Privacy #ParentalControls #WhatsAppPrivacy

## Stats

- **Views:** 1,050
- **Likes:** 5
- **Shares:** 0
- **Comments:** 4

## Credits

No public credits are recorded here. This does not identify who made the post.

## Tags

parentalcontrols, whatsapp, whatsappprivacy, privacy, vidokezovyawhatsapp, messaging

---
Copyright (c) Gondola