🪨 rushine23_rd3 is Dar es Salaam bound 🇿🇦🛬🇹🇿
The new simbasctanzania defender. 🦁⏳
Beki mpya wa Simba, Rushine De Rueck yupo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Oliver Thambo nchini Afrika Kusini akianza safari kuelekea Jijini Dar Es Salaam na atawasili majira ya saa nane usiku huu.
#NguvuMoja