facebook pixel
Hivi unajua kwanini watu wengi wanakimbia biashara na kurudi kwenye ajira? Au kwanini biashara yako haikui? Jibu ni rahisi: Biashara haina "Kutegea!" Kwenye ajira, unaweza ukawa na siku mbaya, ukajificha nyuma ya kompyuta au ukachelewa kidogo na mshahara ukaingia vilevile. Lakini kwenye biashara? Ukilala, na biashara inalala fofofo! 😴💤 Cha kukumbuka ni kuwa  👉🏻 Nidhamu ni Kila Kitu: Biashara haihitaji mtaji wa pesa pekee, inahitaji nidhamu ya hali ya juu. Wewe ndiye bosi, na wewe ndiye mfanyakazi namba moja.  👉🏻Stress za Biashara ni Level Nyingine: Kwenye ajira unajali mshahara wako, kwenye biashara unajali kodi, mishahara ya watu, wateja, na kesho itakuwaje. 🤯  👉🏻Ajira ni Shule: Usichukie kazi yako ya sasa. Itumie kama darasa la kujifunza jinsi ya kusimamia mifumo, ili ukija kuanza chako, usiyumbe. Call: 0714 260266 #Biashara #Nidhamu #Ajira #TanzaniaBusiness #Ujasiriamali #PaulChengula #SuccessMindset #Maendeleo

 7

    Suggested Credits
    Tags, Events, and Projects