facebook pixel
Je, unajua kuwa mteja uliyenaye sasa hivi ndiye aliyebeba ufunguo wa faida yako kubwa? 🔑 Watu wengi wanahangaika kutafuta wateja wapya kila siku, lakini wanasahau mbinu moja ya dhahabu inayoitwa Cross-Selling. Cross-Selling ni nini hasa? Hii ni mbinu ya kumshawishi mteja anunue bidhaa nyingine ya ziada inayofanana au kusaidiana na ile aliyochagua tayari. Si kwamba unamlazimisha, bali unamsaidia kupata suluhisho kamili! Tazama mifano hii 👇🏻 ✅Unauza Simu: Mteja akinunua simu, mshauri achukue na Cover au Screen Protector ili kulinda simu yake mpya. ✅Kwenye Mavazi: Mteja akinunua suti, mpe elimu kwanini anahitaji tai au soksi nzuri za rangi inayoendana. ✅ Kwenye Chakula: Mteja akiagiza chakula,mshawishi anunue na maji au soda toka kwako Kwanini Mbinu Hii Inalipa? 👉🏻Inajenga Imani: Mteja anaona unamjali na unajua unachofanya, siyo tu unauza. 👉🏻Inapunguza Gharama: Ni rahisi kumuuzia mteja aliyeko dukani kuliko kuanza kutafuta mteja mpya mtandaoni. 👉🏻 Inaongeza Mauzo (T...

 5

    Suggested Credits
    Tags, Events, and Projects