facebook pixel
Biashara yako imeganda kwenye mauzo yaleyale? Boss, mwaka 2026 hatufanyi biashara kwa kukariri, tunatumia "Digital Tools"! 🚀 Kama unajichanganya mjini na unataka biashara yako itoke kwenye "Ujasiriamali wa kawaida" iende kwenye "Professional Brand," hizi hapa ni Apps ambazo hutakiwi kuzikosa kwenye simu yako: 1️⃣ WhatsApp Business (The Closer): Hii ndio ofisi yako ya kwanza! Acha kutumia WhatsApp ya kawaida. Kwenye Business version, weka Catalog ya bidhaa zako zote na bei zake ili mteja akija asipotee. Tumia Labels kupanga wateja wako (wale walioulizia, waliochukua mzigo, na wateja wapya). Ni rahisi na inaleta heshima! 2️⃣ Meta Ads Manager (The Booster): Acha kutegemea 'Organic Reach' pekee, utachelewa! Ukitaka kuwafikia wateja wenye "Pesa ya moto" nje ya followers wako, lazima ujue kupiga Targeted Ads. Hapa unachagua mteja gani amuone (umri, location, na interest zao). Hii ndio mashine ya kutengeneza leads za maana! 3️⃣ AI Apps (The Assistant): Kama huna hela ya kuajiri Conte...

 6

    Suggested Credits
    Tags, Events, and Projects