Simba anaweka alama mpya kwenye historia yake katika soka la kimataifa, mkono wa kushoto tayari ushayashika mafanikio ya fainali huku mkono wa kulia unavuta nguvu ya kuyachukua mafanikio hayo haikuwa safari nyepesi hata kidogo na wala hakukuwa na njia ya mkato bali ni machozi, jasho na damu.
Hongera Simba,
Hongera kwa Watanzania wote maana mkiacha utani wenu ule wa vijiwe vxa kahawa ushindi huu unazidi kuipeleka ligi yetu mbali sana chini ya Rais wa TFF Wallace Karia.
#simbar #nguvumoja✊🏽 #tanzania