Pata maelezo kuhusu jinsi ya kuunganisha njia ya kulipa kwenye akaunti yako ya tangazo unapounda tangazo. Video hii ya hatua kwa hatua itakuongoza kupitia chaguo tofauti unazoweza kuchagua ili kuchagua eneo unalopendelea, sarafu na bajeti unapounda tangazo.
Njia ya kulipa iliyochaguliwa itatozwa kulingana na bajeti na muda ambao umechagua kwa tangazo lako.
Kwa maelezo zaidi kuhusu kuweka njia ya kulipa, tembelea:
faq.whatsapp.com/124608397209083
Kwa #VidokezovyaWhatsApp zaidi, jiandikishe kwa chaneli yetu ya YouTube:
youtube.com/user/WhatsAppInc
Endelea kuwasiliana kwenye WhatsApp
Penda WhatsApp kwenye Facebook:
facebook.com/WhatsApp
Fuata WhatsApp kwenye Instagram:
instagram.com/whatsapp
Fuata WhatsApp kwenye Twitter:
twitter.com/whatsapp
#WhatsApp #WhatsAppBusiness #WhatsAppAds