facebook pixel
Jifunze jinsi ya kusanidi vidhibiti vya wazazi kwenye akaunti ya WhatsApp ya barobaro wako. Vidhibiti vya wazazi hukuwezesha kuunganisha akaunti barobaro wako ili uweze kukagua mipangilio yake ya faragha na kuchagua jinsi anavyotumia vipengele fulani. Ili kusanidi vidhibiti vya wazazi, fungua mipangilio ya WhatsApp ya barobaro wako, kisha udonoe Vidhibiti vya wazazi. Thibitisha tarehe ya kuzaliwa na umri wa barobaro wako. Kisha, changanua msimbo wa QR kwa simu yako ili kuunganisha akaunti yake, thibitisha kuwa wewe ni mtu mzima kwa kupiga selfi, na uweke PIN ya mzazi. Kamilisha usanidi kwa kuweka PIN yako ya mzazi kwenye simu ya barobaro wako, kisha kagua au ubadilishe mipangilio yake ya faragha na ruhusa za kutumia vipengele. Akaunti zenu zikiunganishwa, unaweza kupokea arifa za shughuli, kuchagua mipangilio ya faragha na kudhibiti hali yake ya matumizi kwa kurekebisha jinsi anavyotumia vipengele fulani kama vile Hali, Vituo, na Meta AI. Ili kujifunza kuhusu jinsi ya kusanidi vidhib...
https://youtube.com/watch?v=7lRpRtHdJfE
Posted on YouTube ·

 1k

 3

 4

 1k

    Suggested Credits

    Credits on Gondola describe each credited role and may be incomplete. A brand or featured person is not necessarily the creator.

    Tags, Events, and Projects